BANDA LA POLISI KATIKA MAONESHO YA NANE NANE LAZIDI KUNG`ARA
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Bw. David Misime akitembelea Banda la Polisi Tanzania Katika Maonyesho ya siku kuu ya wakulima ya Nane nane, kujionea mambo mbalimbali yanayofanywa na Jeshi hilo, Hapa akipokea fomu ya maelekezo ya kujiunga na Chama cha kuweka akiba na kukopa katika Jeshi la Polisi,Usalama wa Raia Saccos( URA SACCOS) toka kwa mkaguzi wa Polisi Christina Mkonongo mwenye fulana ya rangi ya blue . Na Luppy Kung’alo wa Jeshi la Polisi Dodoma
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Bw. David Misime akitembelea Banda la Polisi Tanzania Katika Maonyesho ya siku kuu ya wakulima ya Nane Nane, kujionea mambo mbalimbali yanayofanywa na Jeshi hilo, Hapa akisoma fomu yenye masharti ya kujiunga na Chama cha kuweka akiba na kukopa katika Jeshi la Polisi,Usalama wa Raia Saccos( URA SACCOS) baada ya kupata maelezo toka kwa mkaguzi wa Polisi Christina Mkonongo mwenye fulana ya rangi ya blue. Na Luppy Kung’alo wa Jeshi la Polisi Dodoma

Askari wa Jeshi Polisi wa kikosi cha Kukabiliana na Majanga Mkoani Dodoma wakitembelea banda la Polisi katika maonyesho ya sikukuu ya wakulima ya Nane Nane inayofanyika Kitaifa Mkoani humo kujionea na kujifunza mambo mbalimbali kuhusu Jeshi la Polisi Tanzania.
Na Luppy Kung’alo wa Jeshi la Polisi Dodoma
CONTACT:
POLISI MKOA WA DODOMA
DAWATI LA HABARI, ELIMU NA MAHUSIANO,
Phone: 0715 006523, Luppy Kung’alo – Mrakibu msaidizi wa Polisi (ASP)
by;Eustachius R,Makanzo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni