Jumamosi, 10 Agosti 2013
Ijumaa, 9 Agosti 2013
AFYA YA MSANII MATUMANI IMEIMARIKA KIDOGO NA AMEREJEA TENA KATIKA FANI YAKE YA UIGIZAJI
BAADA ya kutoka nchini Msumbiji akiwa hoi, msanii wa vichekesho Bongo, Tumaini Mwakibibi ‘Matumaini’ hatimaye amepata nguvu na ameanza kujikongoja katika kazi ya uigizaji.
Akiongea na mwandishi wetu hivi karibuni, Matumaini alisema kwa sasa anaendelea vizuri na ameshaanza kucheza filamu mbalimbali anazoshirikishwa na wasanii wenzake na sasa anaendesha maisha yake mwenyewe.
“Nawashukuru sana wasanii wenzangu kwani kama siyo wao, ningerudishwa nikiwa maiti, sina cha kuwalipa ila Mungu ndiye atakayewalipa,” alisema Matumaini.
Hata hivyo, alilaani vikali baadhi ya wasanii wanaozusha maneno ya uongo kwamba Michael Sangu alikula fedha alizokuwa anachangisha kwa ajili yake jambo ambalo siyo la kweli. Na Mwandishi wetu EUSTACHIUS R,MAKANZO.
Alhamisi, 8 Agosti 2013
*HEKA HEKA ZA MTAA WA KONGO DAR NA MAANDALIZI YA SIKUKUU YA IDD EL FITRI
Monday, August 05, 2013 No comments
Wakazi wa Jijini Dar es Salaam, wakiwa wamefurika katika Mtaa wa Kongo Jijini Dar es Salaam, leo wakisaka mahitaji ya nguo, viatu, urembo na mengineyo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Sikukuu ya Iddi-el Fitri, inayotarajiwa kusherehekewa mwishoni mwa wiki hii kutegemea na kuandama kwa mwezi.
Wakazi wa Jijini Dar es Salaam, wakiwa wamefurika katika Mtaa wa Mchikichini Jijini Dar es Salaam, leo wakitafuta viatu, mengineyo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Sikukuu ya Iddi-el Fitri, inayotarajiwa kusherehekewa mwishoni mwa wiki hii kutegemea na kuandama kwa mwezi.
Wakichagua nguo Mtaa wa Kongo.
Kina Mama wa jijini Dar es Salaam, wakichagua nguo aina ya Madela Mtaa wa Kongo.
Wakazi wa Jijini dar wakichagua nguo za kiume za watoto wao kwa ajili ya Sikukuu ya Idd el Fitri.
Akichagua urembo, haikuweza kufahamika kama jamaa huyu ni muuzaji ama alikuwa akimchagulia urembo 'naniliu' wake...
Jamaa naye akijipima kofia akijiandaa na swala ya Idd.....
Mtaa wa Kongo Hakufai leo usiende....................
Kongo hiyo hakuna hata njia hata watu tu hipishana kwa tabu
MASHINDANO YA KUHIFADHI QURAN YAMALIZIKA JIJINI DAR
AIRTEL YATOSHA
WATEJA AIRTEL SASA KUJISHINDIA NYUMBA 3 ZA KISASA KUPITIA HUDUMA YA YATOSHA
Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando, akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye uzinduzi wa promosheni ya Airtel Yatosha Shinda Nyumba 3, iliyofanyika katika ofisi za Airtel jijini Dar es Salam, akifuatiwa na Meneja Masoko wa Airtel, Anethy Muga.
WATEJA AIRTEL SASA KUJISHINDIA NYUMBA 3 ZA KISASA KUPITIA HUDUMA YA YATOSHA
* Kila siku mshindi mmoja kuondoka na kitita cha shilingi milioni moja
* Mteja mmoja kujinyakulia nyumba 1 kila mwisho wa mwezi kwa miezi mitatu

Ijumaa Julai 5, 2013 Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania inayotoa huduma ya mawasiliano bora na nafuu zaidi nchini leo imezindua promosheni mpya kabambe itakayowawezesha wateja wote wa Airtel Yatosha kujishindia zawadi mbalimbali huku wakiendelea kufurahia huduma ya Airtel yatosha ya siku, wiki au mwezi kama kawaida.
Uzinduzi wa promosheni hiyo mpya ya Airtel Yatosha inadhihirisha dhamira halisi ya Airtel kupitia huduma yao kabambe ya Airtel Yatosha yenye lengo la kutoa huduma nafuu huku wakiendelea kuwafaidisha wateja wao nchi nzima
Akiongea wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo katika ofisi kuu ya Airtel Tanzania, Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bw, Suni Colaso alisema "Leo Airtel tunafanya tukio la kihistoria mara baada ya uzinduzi wa huduma ya Airtel yatosha. Sasa tunawazawadia wateja wetu wa Yatosha kwa aina ya kipekee kabisa, Kila atakaejiunga na huduma ya Airtel Yatosha moja kwa moja atakuwa amejihakikishia nafasi ya kujishindia zawadi ya Nyumba ya kisasa au kitita cha Pesa taslim. Tutakuwa na mshindi mmoja wa kila siku atakaeibuka na shilingi milioni moja, na kama hiyo haitoshi kila mwisho wa mwezi tutatoa nyumba moja kwa mshindi mmoja kwa muda wa miezi mitatu"
Nyumba tunazotoa kwa wateja wetu ni za kisasa kabisa ili kudhihirisha kuwa Airtel Yatosha, ni nyumba yenye vyumba vitatu, sebule pamoja na jiko, itakuwa ndani ya fance iliyonakishiwa katika hali ya mvuto zaidi ili kumfanya mshindi wetu kufurahia zaidi kuwa mteja wa Airtel yatosha", aliongeza kusema Bw Colaso
Akifafanua jinsi ya kushiriki promosheni hiyo Meneja Masoko wa Airtel Bi Anethy Muga alisema " Ili mteja kushiriki promosheni hii, mteja atatakiwa kuendelea kujiunga na kutumia huduma yetu ya Airtel Yatosha ya Kila SIKU, WIKI, au MWEZI kwa kupiga *149*99#, kwa kufanya hivyo moja kwa moja utakuwa umeingia kwenye nafasi ya droo ya kila siku, wiki au ya mwezi na unaweza kujishindia zawadi zetu kabambe Ikiwemo Nyumba.
Promosheni hii ya Airtel Yatosha ni maalum kwa wateja wote wa Airtel yatosha wa malipo ya kabla, Ikiwa hujajiunga na Airtel jiunge leo na utumie huduma ya Airtel Yatosha ili upate nafasi ya kujishindia nyumba ya kisasa kila mwisho wa mwezi au pesa taslimu ndani ya siku tisini kila siku
Airtel ilizindua huduma ya Airtel Yatosha miezi mitatu iliyopita kwa lengo la kuwawezesha wateja wake kupata huduma bora na nafuu zaidi, lengo la huduma hii ni kumpatia mteja huduma nafuu ya sms , muda wa maongezi pamoja na kufurahia mtandao wa interneti wa 3.75G kwa masaa 25 tangu kujiunga. Kujiunga mteja anatakiwa kupiga *149*99# na kujichagulia kifurushi kinachomfaa kwa SIKU, WIKI au MWEZI.

BANDA LA POLISI KATIKA MAONESHO YA NANE NANE LAZIDI KUNG`ARA
by EUSTACHIUS MAKANZO on AUGUST 4, 2013.

Na Luppy Kung’alo wa Jeshi la Polisi Dodoma
CONTACT:
POLISI MKOA WA DODOMA
DAWATI LA HABARI, ELIMU NA MAHUSIANO,
Phone: 0715 006523, Luppy Kung’alo – Mrakibu msaidizi wa Polisi (ASP)
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)